-
Wafilipi 2:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Kwa hiyo ninamtuma haraka bila kukawia, ili mtakapomwona, mshangilie tena, nami nipunguziwe wasiwasi.
-
-
Wafilipi 2:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Kwa hiyo kwa hima kubwa zaidi ninamtuma, ili mmwonapo mpate kushangilia tena nami nipate kuwa bila kihoro hata zaidi.
-