-
Wakolosai 3:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Na lolote lile mfanyalo katika neno au katika kazi, fanyeni kila jambo katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kupitia yeye.
-