-
Wakolosai 4:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 na Yesu aitwaye Yustasi, hawa wakiwa ni kati ya wale waliotahiriwa. Ni hawa tu walio wafanyakazi wenzangu kwa ajili ya ufalme wa Mungu, na hawahawa wamekuwa kwangu msaada wenye kutia nguvu.
-