-
1 Wathesalonike 5:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Kwa upande mwingine, twawahimiza nyinyi kwa bidii, akina ndugu, waonyeni kwa upole wale wasio na utaratibu, semeni kwa kuliwaza nafsi zilizoshuka moyo, tegemezeni walio dhaifu, iweni wenye ustahimilivu kuelekea wote.
-