-
1 Wathesalonike 5:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Mungu yuleyule wa amani na awatakase nyinyi kikamili. Na vikiwa timamu katika kila jambo, roho na nafsi na mwili wenu akina ndugu vipate kuhifadhiwa kwa namna isiyo na lawama kwenye kuwapo kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
-