-
2 Petro 2:13Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
13 wakijikosea wenyewe kama thawabu ya utendaji wenye kosa.
Hufikiria maisha ya anasa katika wakati wa mchana kuwa raha. Wao ni madoa na mawaa, wakijitia mno katika upendezi usiozuiwa katika mafundisho yao ya udanganyifu huku wakila karamu pamoja nanyi.
-