-
1 Yohana 1:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 kile ambacho tumeona na kusikia tunaripoti kwenu pia, ili nyinyi pia mwe mkiwa na ushirika pamoja na sisi. Zaidi ya hilo, ushirika huu wetu ni pamoja na Baba na pamoja na Mwana wake Yesu Kristo.
-