-
1 Yohana 3:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Wapendwa, sasa sisi ni watoto wa Mungu, lakini hadi hapa haijafanywa dhahiri kile tutakachokuwa. Twajua kwamba wakati wowote afanywapo dhahiri tutakuwa kama yeye, kwa sababu tutamwona kama vile alivyo.
-