-
1 Yohana 3:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Yeye ambaye huendeleza dhambi hutokana na Ibilisi, kwa sababu Ibilisi amekuwa akifanya dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alifanywa dhahiri, yaani, ili avunje-vunje kazi za Ibilisi.
-