-
1 Yohana 3:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 si kama Kaini, ambaye alitokana na yule mwovu akamchinja ndugu yake. Na ni kwa ajili ya nini yeye alimchinja? Kwa sababu kazi zake mwenyewe zilikuwa mbovu, lakini zile za ndugu yake zilikuwa za uadilifu.
-