-
Ufunuo 3:21Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
21 Yeye ashindaye hakika nitamruhusu kuketi pamoja nami katika kiti changu cha ufalme, kama vile mimi nilivyoshinda nikaketi pamoja na Baba yangu katika kiti chake cha ufalme.
-