-
Ufunuo 12:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Lakini dunia ikaja kumsaidia mwanamke, nayo dunia ikafungua kinywa chake na kuumeza mto ambao yule joka aliutapika kutoka katika kinywa chake.
-
-
Ufunuo 12:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Lakini dunia ikaja kumsaidia mwanamke, nayo dunia ikafungua kinywa chayo na kuumeza kabisa mto ambao joka kubwa liliutapika kutoka katika kinywa chalo.
-