-
Ufunuo 14:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Nalo sindikio la divai likakanyagwa nje ya jiji, na damu ikatoka katika hilo sindikio la divai kufika juu kwenye hatamu za farasi, kwa umbali wa stadia elfu moja mia sita.
-