-
Ufunuo 18:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Baada ya hayo nikamwona malaika mwingine akishuka kutoka mbinguni, mwenye mamlaka kubwa, na dunia ikatiwa nuru kwa utukufu wake.
-
-
Ufunuo 18:1Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Baada ya mambo haya nikaona malaika mwingine akishuka kutoka mbinguni, mwenye mamlaka kubwa; na dunia ilinurishwa kutokana na utukufu wake.
-