-
Ufunuo 18:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 “Pia, wafanyabiashara wa dunia wanalia na kuomboleza kwa sababu yake, kwa kuwa hakuna yeyote wa kununua tena bidhaa zao zilizojaa,
-
-
Ufunuo 18:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 “Pia, wafanya-biashara wa dunia wanaosafiri wanatoa machozi na kuomboleza juu yake, kwa sababu hakuna yeyote wa kununua tena kamwe bidhaa zao zilizojaa,
-