-
Ufunuo 18:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 mizigo iliyojaa ya dhahabu, fedha, mawe ya thamani, lulu, kitani bora, vitambaa vya zambarau, hariri, na vitambaa vyekundu; na kila kitu kilichotengenezwa kwa mbao zenye manukato; na kila aina ya kitu kilichotengenezwa kwa pembe za tembo, na kwa mbao za thamani, shaba, chuma, na marumaru;
-
-
Ufunuo 18:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 bidhaa zilizojaa za dhahabu na fedha na jiwe lenye bei na lulu na kitani bora na zambarau na hariri na nyekundu-nyangavu; na kila kitu cha miti iliyotiwa mnukio na kila namna ya kitu cha pembe ya tembo na kila namna ya kitu kitokanacho na miti yenye bei zaidi sana na cha shaba na cha chuma na cha marumaru;
-