-
Ufunuo 18:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 kwa sababu katika saa moja mali nyingi hivyo zimeharibiwa!’
“Na kila kapteni wa meli na kila mtu anayesafiri baharini na mabaharia na wale wote ambao hupata riziki baharini walisimama mbali
-
-
Ufunuo 18:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 kwa sababu katika saa moja mali nyingi hivyo zimefanywa ukiwa!’
“Na kila kapteni wa meli na kila mtu ambaye husafiri baharini popote, na mabaharia na wale wote ambao hupata riziki kwa bahari, walisimama umbali fulani
-