-
Ufunuo 20:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Nami nikaona kiti cha ufalme kikubwa cheupe na yeye aketiye juu yacho. Kutoka mbele yake dunia na mbingu zikakimbilia mbali, na hakuna mahali palipopatikana kwa ajili yazo.
-