6 Baada ya hayo Esau akachukua wake zake na wanawe na binti zake na nafsi zote za nyumba yake na mifugo yake na wanyama wake wengine wote na mali yake yote,+ aliyokuwa amekusanya katika nchi ya Kanaani, naye akaenda nchi iliyo mbali kutoka kwa Yakobo ndugu yake,+