Mwanzo 37:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Basi akamwambia: “Tafadhali, nenda. Kaone kama ndugu zako wako salama salimini na kama kundi liko salama salimini, halafu uniletee habari.”+ Basi akamtuma toka nchi tambarare ya chini ya Hebroni,+ naye akaenda kuelekea Shekemu. Mwanzo Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 37:14 gl 7 Mwanzo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 37:14 Mnara wa Mlinzi,8/1/2014, uku. 135/1/1987, uku. 12 ‘Nchi Nzuri’, uku. 7
14 Basi akamwambia: “Tafadhali, nenda. Kaone kama ndugu zako wako salama salimini na kama kundi liko salama salimini, halafu uniletee habari.”+ Basi akamtuma toka nchi tambarare ya chini ya Hebroni,+ naye akaenda kuelekea Shekemu.