Mwanzo 37:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Baadaye Rubeni akarudi kwenye lile shimo la maji na tazama Yosefu hakuwemo. Basi akayararua mavazi yake.+
29 Baadaye Rubeni akarudi kwenye lile shimo la maji na tazama Yosefu hakuwemo. Basi akayararua mavazi yake.+