Mwanzo 44:32 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 32 Kwa maana mtumwa wako alijitoa kuwa dhamana+ ya mvulana huyu awapo mbali na baba yake, akisema, ‘Nisipomrudisha kwako, basi nitakuwa nimemtendea baba yangu dhambi milele.’+
32 Kwa maana mtumwa wako alijitoa kuwa dhamana+ ya mvulana huyu awapo mbali na baba yake, akisema, ‘Nisipomrudisha kwako, basi nitakuwa nimemtendea baba yangu dhambi milele.’+