-
Mwanzo 45:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Basi msikose kumwambia baba yangu juu ya utukufu wangu wote katika Misri na kila kitu ambacho mmeona; nanyi mfanye haraka kumleta baba yangu hapa.”
-