Mwanzo 47:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Nao wakaanza kumletea Yosefu mifugo yao; naye Yosefu akawapa mkate kwa kubadilishana na farasi zao na makundi na mifugo na punda,+ naye akawapa mkate kwa kubadilishana na mifugo yao yote mwaka huo.
17 Nao wakaanza kumletea Yosefu mifugo yao; naye Yosefu akawapa mkate kwa kubadilishana na farasi zao na makundi na mifugo na punda,+ naye akawapa mkate kwa kubadilishana na mifugo yao yote mwaka huo.