-
Mwanzo 50:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Baada ya kumzika baba yake, Yosefu akarudi Misri, yeye na ndugu zake na wale wote waliokwenda pamoja naye kumzika baba yake.
-