Mwanzo 50:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Halafu ndugu zake pia wakaja na kuanguka chini mbele yake. Wakamwambia: “Tazama, sisi ni kama watumwa kwako!”+
18 Halafu ndugu zake pia wakaja na kuanguka chini mbele yake. Wakamwambia: “Tazama, sisi ni kama watumwa kwako!”+