-
Mwanzo 7:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Na hiyo gharika ikaendelea siku 40 juu ya dunia, na maji yakazidi kuongezeka na kuanza kuiinua safina nayo ikawa inaelea juu ya dunia.
-