Mwanzo 14:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Ndipo Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma: “Nainua mkono wangu katika kiapo+ kwa Yehova Mungu Aliye Juu Zaidi, Mtokezaji wa mbingu na dunia,
22 Ndipo Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma: “Nainua mkono wangu katika kiapo+ kwa Yehova Mungu Aliye Juu Zaidi, Mtokezaji wa mbingu na dunia,