Mwanzo 16:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Ndipo Sarai, mke wa Abramu, akamchukua Hagari, mjakazi wake Mmisri, mwishoni mwa miaka kumi ya kukaa kwa Abramu katika nchi ya Kanaani, naye akampa mume wake Abramu kama mke wake.+
3 Ndipo Sarai, mke wa Abramu, akamchukua Hagari, mjakazi wake Mmisri, mwishoni mwa miaka kumi ya kukaa kwa Abramu katika nchi ya Kanaani, naye akampa mume wake Abramu kama mke wake.+