-
Mwanzo 19:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Ikawa kwamba kesho yake mzaliwa wa kwanza akamwambia yule mdogo: “Haya, mimi nililala na baba yangu usiku wa jana. Tumpe divai anywe usiku wa leo pia. Kisha wewe uingie ndani ulale naye, ili tuhifadhi uzao kutoka kwa baba yetu.”
-