- 
	                        
            
            Mwanzo 20:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
8 Kwa hiyo Abimeleki akaamka asubuhi na mapema, akawaita watumishi wake wote na kuyasema mambo hayo yote masikioni mwao. Na watu hao wakaogopa sana.
 
 -