Mwanzo 20:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Naye akamwambia Sara: “Tazama, mimi nampa ndugu yako+ vipande elfu moja vya pesa za fedha. Tazama, hizo zitakuwa kifuniko+ cha macho kwako kwa wote walio pamoja nawe, na mbele ya kila mtu, nawe umeondolewa shutuma.”
16 Naye akamwambia Sara: “Tazama, mimi nampa ndugu yako+ vipande elfu moja vya pesa za fedha. Tazama, hizo zitakuwa kifuniko+ cha macho kwako kwa wote walio pamoja nawe, na mbele ya kila mtu, nawe umeondolewa shutuma.”