Mwanzo 24:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Lakini, huyo mtumishi akamwambia: “Itakuwaje ikiwa mwanamke huyo hataki kuja pamoja nami mpaka nchi hii? Je, ni lazima nihakikishe kwamba nimemrudisha mwana wako mpaka nchi ambayo wewe ulitoka?”+
5 Lakini, huyo mtumishi akamwambia: “Itakuwaje ikiwa mwanamke huyo hataki kuja pamoja nami mpaka nchi hii? Je, ni lazima nihakikishe kwamba nimemrudisha mwana wako mpaka nchi ambayo wewe ulitoka?”+