-
Mwanzo 27:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Tafadhali nenda kundini uniletee kutoka humo wana-mbuzi wawili wazuri, ili nipate kuwatayarisha wawe chakula kitamu kwa ajili ya baba yako, chakula kile anachokipenda sana.
-