Mwanzo 27:46 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 46 Baada ya hayo Rebeka akawa akimwambia Isaka: “Nimekuja kuyachukia sana haya maisha yangu kwa sababu ya binti za Hethi.+ Yakobo akichukua mke kutoka kwa binti za Hethi kama hawa kutoka kwa binti za hii nchi, basi maisha yana faida gani kwangu?”+ Mwanzo Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 27:46 w06 9/15 21-22 Mwanzo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 27:46 Mnara wa Mlinzi,9/15/2006, kur. 21-227/15/1995, uku. 138/1/1993, kur. 7-8
46 Baada ya hayo Rebeka akawa akimwambia Isaka: “Nimekuja kuyachukia sana haya maisha yangu kwa sababu ya binti za Hethi.+ Yakobo akichukua mke kutoka kwa binti za Hethi kama hawa kutoka kwa binti za hii nchi, basi maisha yana faida gani kwangu?”+