-
Mwanzo 29:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Wakajibu, wakasema: “Haturuhusiwi kufanya hivyo mpaka makundi yote yawe yamekusanywa nao kwa kweli wawe wameviringisha jiwe kutoka kwenye kinywa cha kisima. Ndipo tutakaponywesha kondoo maji.”
-