Mwanzo 30:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Akajibu akamwambia: “Je, hili ni jambo dogo, kwamba wewe umemchukua mume wangu,+ na sasa wewe uzichukue pia dudai za mwanangu?” Basi Raheli akasema: “Kwa sababu hiyo yeye atalala nawe usiku wa leo kwa kubadilishana na dudai za mwana wako.” Mwanzo Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 30:15 w07 10/1 11; w04 1/15 28 Mwanzo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 30:15 Mnara wa Mlinzi,10/1/2007, uku. 111/15/2004, uku. 28
15 Akajibu akamwambia: “Je, hili ni jambo dogo, kwamba wewe umemchukua mume wangu,+ na sasa wewe uzichukue pia dudai za mwanangu?” Basi Raheli akasema: “Kwa sababu hiyo yeye atalala nawe usiku wa leo kwa kubadilishana na dudai za mwana wako.”