-
Mwanzo 30:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Baada ya hayo akaenda kukaa umbali wa safari ya siku tatu kati yake na Yakobo, na Yakobo alikuwa akichunga mifugo ya Labani iliyobaki.
-