-
Mwanzo 30:40Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
40 Naye Yakobo akatenganisha wale wana-kondoo dume kisha akageuza nyuso za makundi kuelekea wale wenye mistari-mistari na wote wa rangi ya kahawia kati ya makundi ya Labani. Halafu akaweka makundi yake mwenyewe peke yake wala hakuwaweka kando ya mifugo ya Labani.
-