-
Mwanzo 32:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Tena akamwamuru yule wa kwanza, akisema: “Ikiwa Esau ndugu yangu atakupokea na kukuuliza, akisema, ‘Wewe ni wa nani, nawe unaenda wapi na hawa walio mbele yako ni wa nani?’
-