Kutoka 1:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Baada ya muda mfalme wa Misri akawaita wazalishaji hao na kuwaambia: “Kwa nini mmefanya jambo hili, ya kwamba mliwahifadhi hai watoto wa kiume?”+
18 Baada ya muda mfalme wa Misri akawaita wazalishaji hao na kuwaambia: “Kwa nini mmefanya jambo hili, ya kwamba mliwahifadhi hai watoto wa kiume?”+