- 
	                        
            
            Kutoka 1:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
19 Nao wazalishaji wakamwambia Farao: “Kwa sababu wanawake Waebrania si kama wanawake Wamisri. Kwa sababu wao ni wenye nguvu, wao huwa tayari wamezaa kabla mzalishaji hajaingia kwao.”
 
 -