Kutoka 2:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Baada ya muda, binti ya Farao akaja kuoga katika Mto Nile, nao wanawake wa kumhudumia walikuwa wakitembea kando ya Mto Nile. Naye akaiona ile safina katikati ya matete. Mara moja akamtuma kijakazi wake aende akailete.+ Kutoka Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 2:5 w97 5/1 30 Kutoka Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 2:5 Mnara wa Mlinzi,5/1/1997, uku. 30
5 Baada ya muda, binti ya Farao akaja kuoga katika Mto Nile, nao wanawake wa kumhudumia walikuwa wakitembea kando ya Mto Nile. Naye akaiona ile safina katikati ya matete. Mara moja akamtuma kijakazi wake aende akailete.+