Kutoka 4:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Nami nakuambia wewe: Mruhusu mwanangu aende zake ili anitumikie. Lakini iwapo utakataa kumruhusu aende zake, tazama, nitamuua mwana wako, mzaliwa wako wa kwanza.”’”+
23 Nami nakuambia wewe: Mruhusu mwanangu aende zake ili anitumikie. Lakini iwapo utakataa kumruhusu aende zake, tazama, nitamuua mwana wako, mzaliwa wako wa kwanza.”’”+