Kutoka 12:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 “‘Nanyi lazima mshike sherehe ya keki zisizo na chachu,+ kwa sababu siku hiyo hiyo nitayatoa majeshi yenu kutoka katika nchi ya Misri. Nanyi mtaishika siku hiyo katika vizazi vyenu vyote, kama sheria mpaka wakati usio na kipimo.
17 “‘Nanyi lazima mshike sherehe ya keki zisizo na chachu,+ kwa sababu siku hiyo hiyo nitayatoa majeshi yenu kutoka katika nchi ya Misri. Nanyi mtaishika siku hiyo katika vizazi vyenu vyote, kama sheria mpaka wakati usio na kipimo.