-
Kutoka 26:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Nacho kitambaa kitakachobaki kitakuwa cha kuning’inia. Nusu ya kitambaa cha hema kitakachobaki kitaning’inia upande wa nyuma wa maskani.
-