- 
	                        
            
            Kutoka 28:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
5 Na wao wenyewe wataichukua dhahabu na ule uzi wa bluu na ile sufu iliyotiwa rangi ya zambarau na kile kitambaa cha rangi nyekundu ya kochinili na kile kitani bora.
 
 -