-
Kutoka 29:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Nawe utamchinja kondoo huyo na kuchukua sehemu ya damu yake na kuitia kwenye ncha ya sikio la kuume la Haruni na kwenye ncha ya sikio la kuume la wanawe na kwenye kidole gumba cha mkono wao wa kuume na kwenye kidole kikubwa cha mguu wao wa kuume,+ nawe utainyunyiza damu hiyo kuzunguka pande zote juu ya madhabahu.
-