-
Kutoka 36:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Urefu wa kila kitambaa cha hema ulikuwa mikono 28, nao upana wa kila kitambaa ulikuwa mikono 4. Vitambaa vyote hivyo vilikuwa na kipimo kimoja.
-