Mambo ya Walawi 6:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 au kitu chochote ambacho huenda akaapa juu yake kwa uwongo, naye atatoa malipo+ kwa ajili yake kwa kiwango chake kamili, naye ataongezea juu yake sehemu yake ya tano. Siku ambayo hatia yake itahakikishwa atampa mwenyewe kitu hicho.
5 au kitu chochote ambacho huenda akaapa juu yake kwa uwongo, naye atatoa malipo+ kwa ajili yake kwa kiwango chake kamili, naye ataongezea juu yake sehemu yake ya tano. Siku ambayo hatia yake itahakikishwa atampa mwenyewe kitu hicho.